Mwaka Jana mwezi wa kumi nilinunua kuku wa kienyeji ili niwafuge kwenye nyumba yangu ambayo haijaisha vizuri huko Boko, Chasimba.
Nilikuwa na kuku saba broiler na wawili wa kienyeji, dume na...
Wajumbe wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Cchadema (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma, leo tarehe 7 Aprili 2025, wamemchagua Joseph Mussa Mahindoni kuwa Mwenyekiti mpya wa baraza hilo...
Nimetoka kuumwa mafua jana tu, lakini mtoto Wala hakujali.........kalamba pua yote. Ulimi kauingiza kwenye Tundu za pua (nostrils) kusafisha safisha. Kulikuwa na magamba ya kamasi zilizokauka...
Ng’ombe wa Jersey wana uwezo wa kutoa kati ya lita 15 hadi 25 za maziwa kwa siku 🥛, kutegemea na lishe, mazingira, na huduma bora ya mifugo. Ingawa si wengi hutoa lita nyingi kama Friesian (ambao...
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Serikali ya Watu China imezindua mfumo wake wa kufanya malipo GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK na kuukwepa mfumo wa Marekani wa SWIFT ambao Marekani anautumia kama silaha dhidi ya...
Ndoa nyingi zinaharibika kwasababu mke au mume kumsema mwenzie kwa watu hovyohovyo.Ni vizuri kuongea nyie wawili panapotokea kutokuelewana.Ugumu unatoka wapi,mbona mnavuliana nguo na kushiriki...
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.
Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.