Ndugu zangu Watanzania,
Nashindwa niandike nini ,nashindwa niseme nini ,nashindwa nieleze vipi juu ya uwezo mkubwa wa kiakili alionao na aliojaliwa kuwa nao Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari...
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari za wakati huu ndugu na jamaa popote mnakopatikana.
Leo baada ya kusoma habari ya vifo vya watu takribani 46 huko Gaza baada ya shambulizi la Israel kuna maswali nimejiuliza hapa ambayo...
Katika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!
Farhia ameshiba majibu ya maswali yote...
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers...
Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na...
Watanzania wengi wa Vijijin na mijin walikua hawajui ukweli huo kua WAZIRI WA TAMISEM , Mh Mchengerwa Kaoa Mtoto wa Rais Samia.
Waziri Mchengerwa ndio Waziri mwenye kusimamia Uchaguzi Mkuu...
Wakuu, niko kwenye sintofahamu na nisielewe kitu cha kufanya. Nimeshindwa kulia, nimeshindwa kucheka. Niko ndani ya chumba changu nakula ngoma ya Together as one huku chumba kizima kikifurika widi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.