Mambo mengine ni ya aibu hata kuyaelezea. Huyu BABA ana miaka 47, amenipita 12 years, niliwahi kutoka naye kimapenzi nikiwa chuo, Ila nikampiga chini baada ya kuona hana vision na hajui kusudi la...
Wakuu Muda huu mfumo wa LUKU upo down!! Yani upo unaccessible kwa almost Vendors wote Sio Mobile Money wala Banking kote Huwezi kufanya Purchase of Electricity
What i guess ni either hawa jamaa...
Awali kabisa sikujua chakula kinachoitwa biriani ila nilikuwa nasikia tu kuna chakula kinaitwa biriani. Kumbe nikaja kuambiwa kuwa nilishawahi kula kwenye sherehe na mikutano ya kiofisi...
Habari wakuu
Imekua ni ndoto yangu ya muda mrefu kuishi maisha ya asili na kuzungukwa na mazingira ya misitu ,mimea pamoja na wanyama (wafugwao)
Hauwezi kuizuia nafsi kitu ikipendacho bwana...
Tulipokea ndege zetu kwa furaha na ndereno lakini leo hii machozi yanatutoka.Shirika linaendesha kwa ruzuku ya serikali ,Fedha ambayo ingenunua dawa kwenye hospitali zetu-,kujenga barabara na...
Masaa machache yaliyopita kwenye akaunti yao ya mtandao wa Facebook, Chaneli ya Azam TV wamerusha habari kuhusu aliyoyasema Katibu Mkuu wa CCM kuhusu CHADEMA na Agenda yao ya No Reform No...
Wajue watu wanaompa Mkongwe KOFFI OLOMIDE Nguvu ya Kudumu kwenye Muziki wa Afrika Takribani Miaka 40 Leo..
Wanasema Penye Mafanikio ya Mtu lazima kuna Connection au Mchakato flani wa kueleweka...
Kwa nini tusingekuwa na demokrasia ya chama kimoja ambayo inaonekana ni bora kuliko ya vyama vingi iliyojaa matatizo lukuki?
Chama kiteue wagombea wa urais watatu tuwapigie kura. Hivyo hivyo...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akiwa Lindi jana Aprili 3, amesema watu wa Lindi wana Waziri Mkuu mzuri, mweupe lakini watu wake wana maisha magumu sana, na kutaka wajue kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.