Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi wakuu hili suala la kwenda haja kubwa, halafu wakati wa kuchamba mtu anashika shika mavi ili kujiosha mnalionaje? Ukweli ni kwamba wengi wamelishwa mavi. Huwezi kusema wote hujisafisha...
3 Reactions
13 Replies
14 Views
Mamlaka nchini Burkina Faso zinamshikilia mwanachama wa asasi ya kiraia kwa kosa la kukosoa utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore. Katika taarifa yake ya Aprili 4, 2025, asasi hiyo iitwayo...
2 Reactions
15 Replies
327 Views
Habari za muda huu waungwana wa hapa..... Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo..... Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana...
4 Reactions
15 Replies
57 Views
Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako? Au ni kwasababu hana...
1 Reactions
27 Replies
196 Views
Lafudhi ya wasambaa inaniudhi sana Yani sijui wanaongelea koromeoni sisi wapare tunawaita wasambaa vashamba kwasababu nyingi sana.
5 Reactions
53 Replies
448 Views
Tuliwambia Yemen huwa hashindwi vita, US ameanza omba nchi zingine wawasaide kupambana na Yemen ( Al Houthi ) https://youtu.be/zggM6Zu3ZYs?si=-bVmlSCOBTuYN7nq
2 Reactions
37 Replies
551 Views
Mungu yupo na sababu za kuamini zipo. Sababu zimeandikwa mbinguni na duniani kwa herufi kubwa kiasi kwamba kila aaminiye aweza kuzisoma; nimesema, kila aaminiye aweza kuzisoma. Nikwambie mapema...
6 Reactions
81 Replies
7K Views
Mwanza, mkoa wa pili kwa ukubwa Tanzania na kitovu cha biashara cha Kanda ya Ziwa, hauna chuo kikuu cha umma kinachoeleweka vizuri. Hili ni jambo la kushangaza na linalotia shaka, ukizingatia...
5 Reactions
28 Replies
317 Views
Kuna wakati Watanzania tunaanza kuamini Freeman Mbowe alizungukwa na vijana hatari sana huku yeye akila na kulala nao. Kama wanavyojitambulisha hawa vijana wanaojiita G55 ni vijana toka team...
9 Reactions
20 Replies
396 Views
DOSARI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA...
1 Reactions
6 Replies
114 Views

FORUM STATS

Threads
1,956,069
Posts
52,716,029
Back
Top Bottom