Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari gani wakuu bila kupoteza muda niingie kwenye mada
Jamani kwa yoyote mwenye connection na kampuni za ulinzi zinazolipa kwa wakati Zanzibar msaada wako unahitajika hapa tujuze tafadhali na...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI...
Natokea Kanda ya ziwa
Tanzania kubwa na nimetembea baadhi ya maeneo ila aisee hii Kanda ya kati ni shida
Ukiwa safari huoni mgombea, majaruba, Mti wa mhogo n.k yaani sehemu ni kame kama Nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.