Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 pale Drive inn zilipo ofisi za Zantel,Msasani.
Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu...
Hakuna haja ya Kuchoka hadi Shetani Atokomezwe, na hii ni nafasi kwa wewe ambaye hukubahatika kushiriki mchakato wa mwanzo, Usikose
Taarifa zaidi hii hapa
Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu.
Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80...
Jamani wakulungwa hatujambo humu! Natumai wote mko powa kabisa, jamani kuna uyu mwanadada anaitwa Lady Isa nakumbuka kuna kibao chake kimoja nilikuwa nakipenda sana kama sikosei ni tamaa iliua...
Ndugu zangu Watanzania,
Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe ...
Huyu mzee nimemfatilia kiasi chake,
Ana busara,ana utulivu,sio mlalamishi,hana nguvu nyingi za mwili kama vijana ila ana nguvu katka kauli!
Na kwa sababu hiyo katika mijadala wengi hasa vijana...
Habari zenu wakuu,
Katika uzi huu, nitaleta maandiko ya kitabu cha Adam na Hawa (The book of Adam and Eve) cha kwanza na cha pili ambacho kwa sababu wanazozifahamu wahusika wamekiondoa kwenye...
Sera ya no reform no election inawaoeleka shimoni. Fanyeni vitu vyo lakini maneno hayo hayaeleweki hata nie wenyeqe chadema mnashindwa kuyafafanua vema. Yaondoeni kwenye sera zenu.
"Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk
"Fedha...
CHADEMA muda huu wanzungumzia kampeni ya Tone tone namna inavyoendelea hadi sasa
Updates...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.