Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wafungwa nao ni binadamu kama sisi tuu. Wanaugua na wanaweza kupoteza maisha wakiwa kifungoni.. Je sheria inasemaje?
Zamani tuliambiwa mfungwa aliye kifungoni akipata madhila ya kupoteza maisha...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Maisha ya sasa usipokuwa na financial literacy (elimu ya pesa) unaweza kujikuta umeingia kwenye utumwa wa matumizi makubwa, ambayo baadaye yanakupeleka kwenye uraibu wa mikopo usioisha.
Mambo...
Binafsi nimekuwa na kulelewa na baba kwani mama yangu alifariki nikiwa nipo mdogo, nilipofika darasa la 6 baba alipata mwanamke wa kuishi nae, huyu nilitambulishwa kuwa atakuwa akiishi nasi.
Huyu...
Nampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania
Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa
Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi...
Sisi Watibeli Moja ya miiko yetu ni kutokuwa waharibifu. Hatuharibu vitu vizima. Hatuharibu vitu ambavyo ni vyema. Ukiwa mwema Sisi Watibeli hatuwezi kukutendea ubaya. Hiyo ni Kanuni yetu na ipo...
Hakika nimemsika Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu 4 ambaye pia ni Mbunge akisema yeye ndie aliyependekeza Bungeni juu ya WENZA wa Viongozi wa JUU walipwe MAFAO kutokana na kuumiza Akili wa Wenza wao...
Kuna hatari moja kubwa sana naiona inakuja Tanzania.
Rwanda na Uganda zinajiimarisha sana kwenye maeneo ya Teknolojia ya kivita na Intelejensia.
Hivi karibuni Rwanda amesaini mkataba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.