Mimi nasikia tu kuwa Zanzibar Kuna kazi nyingi za ulinzi, kampuni nyingi nimewatafuta ila vigezo vyao wanataka mtu alopitia mafunzo ya mgambo au jkt.
Sasa ikiwa Kuna mtu yoyote anaijua kampuni...
Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia...
Kumekuwa na uvumi mtaani kuwa ukienda kupima DNA kwa mkemia mkuu huwa wanataka uanzie USTAWI WA JAMII NA KWA MWANASHERIA AMA ORDER kutoka mahakamani ambapo unasikilizwa kwanza nia yako na uamuzi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mtu anaejifunza karate au sanaa nyingine yoyote ile ya mapigano, hupata faida nyingi sana, ikiwemo kwanza anapata uwezo wa kujihami dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, watekaji na wauaji. Pia...
Salaam
Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni...
https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=vNFvoKjRVolsifCm
Nina Masikitiko makubwa ya kumpoteza msaani wangu mkali Jose Mtambo kwa sababu ya pombe na madawa. Huyu ni msaani wangu wa pili baada ya kumpoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.