Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko Nchini Uganda kwa ziara ya Kikazi.
Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Tabora, Mayala Mburi, kutokana na...
Haya habari mwana JF.
Najua kuna stendi nyingi za mabasi nchini Tanzania na nyingi mno zina changamoto zake. Changamoto nyingi NI hawa vijana wapokea abiria kwa ajili ya kwenda kuwaonesha ofisi...
Watu wa Mungu .....
Sifa zake
Awe na umri 35 -45
Awe hajatumika .
Awe anachapa kazi
Awe tayari kuoa nakuhudumia kama upo serious njoo inbox
Chapu fulsa hii ni yenu.
Awe mlokole tafadhali dhehebu...
Shughuli ya uzalishaji ni shughuli ambayo inazalisha bidhaa au huduma
Nchi nyingi kama China, Russia, South Korea, Angola, Nigeria n.k zimeendelea Kwa kuwa asilimia kubwa ya wananchi wanashiriki...
Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.
Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa...
Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume.
Kwa zaidi ya miezi miwili sasa, Bidhaa mbalimbali zenye nembo na chapa...
Jamii, hii Barabara inayotoka Tengeru sokoni kuelekea Chuo cha maendeleo ya jamii na Chuo cha mifugo (LITA) Tengeru NI mbaya Sana, viongozi hebu tupieni jicho hii barabara inatesa Sana Kwa kweli.
Robert Amsterdam naye ni wakili wa Bobi Wine....
Imenikumbusha kipindi kile cha kukaribia uchaguzi....zile NGO's ambazo zilitumiwa kupitisha fedha kutoka kwa wafadhili kwenda kwa CDM....na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.