David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya...
Ripoti ya “Viashiria vya Nguvu Laini Duniani Mwaka 2025” imetolewa hivi karibuni huko London, Uingereza, na nafasi ya China imepanda hadi pili duniani. Hii ni mara nyingine ya kupanda kwa nafasi...
Azam energy imepanda bei, kutoka 500/- ikaja 600/- Sasa imepanda bei maradufu mpaka 800/-
Je, ipi sababu ya bei kupanda? Labda kodi imeongezeka, gharama za uzalishaji zimekuwa kubwa, kiburi na...
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo...
Ndugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na...
Wanafanya hivyo kwa mgongo wa kukusanya pesa kwaajili ya kuendesha chama, kitu ambacho kabla ya uchaguzi walipiga kelele sana kwamba ndani ya chama hicho kuna matumizi mabaya ya pesa za chama...
.Acheni tu usaili wa walimu ubakie hivyo wazee. Labda kama kuna marekebisho basi yafanywe ila inerview ibaki.
Wazee niwaambie asilimia 70 ya walim wa NETO. hawako compitent. Yaan. Swala la...
Katika msitu mnene, ulikuwa ukikusanya miti kwa ajili ya kujenga makazi yako. Jua lilikuwa linachoma kwa nguvu, na baada ya siku ndefu ya kazi, mwili wako ulianza kuchoka. Ukajikunyata chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.