Habari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo...
" Masikini watoto wa Kayumba za Likud wamepata zero kibao duh ndio kwisha habari Yao"
Kuna watu kadhaa wame nitag kunikejeli Kwa hoja hii..cha ajabu ni kwamba watu hao wana jiita graduates...
Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo...
Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!
Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la...
Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu.
Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo.Kuanzia shule ya msingi...
UHAMIAJI TANZANIA na TISS wala msiwe na wasiwasi hili Jambo ni jema mno kwa Taifa letu hivyo endeleeni tu Kulala na Kuliachia kwani litadumisha sana Utaifa na Uzalendo wetu wa Kihistoria sawa?
1. Ni muumini mkubwa wa Katiba Mpya inayotengeneza mifumo imara na sio kuwapa nguvu Wanasiasa. Suala hili linaungwa mkono na idadi kubwa ya Watumishi wa Umma ikiwemo vyombo vya dola
2. Ni mtu...
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena...
Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu...
wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona.
Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti...
Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.