Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa na Mgombea wa Uenyekiti, Tundu Lissu kwenye mahojiano na Wasafi Media amesema;
"Nachotaka kusema ni kwamba Uchaguzi huu kumekuwa na fedha nyingi...
Wadau, mnakumbuka nilileta uzi kuhusu binti aliyekwenda nchi za Kiarabu kufanya kazi? Sasa hivi, kuna jambo limetokea na nipo njia panda.
Kwa kifupi, mimi kwao sijulikani vizuri, wazazi wake...
Mheshimiwa pole kwa Kazi. Najuwa Ile furaha na bahati Kuwa kiongozi mkuu wa Taifa huwa inakufanya upende kusema umejitoa hata kufa Kwa Taifa hili ni kweli kabisa. Tunajua sio wewe tu ila kila Raia...
Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna...
Habari wakuu
Natumai wote mko wazima.
Naandika huu uzi nikiwa nishachefuka nnachotaka nijue leo kunabaadhi ya wanawake huwa mtaka nini kwenye maisha yenu misielewi.
Niko kwenye mahusiano na...
Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache?
Wanawake wachache...
Habari wadau.
Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao.
Inasemekana walifanya harusi...
Sintofahamu imezuka katika uchaguzi wa viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya wajumbe kumtilia shaka mmoja wa wagombea aliyekuwa akitoa nauli.
Uchaguzi wa Bavicha unaendelea...
Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June.
Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.