Nilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.
Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na...
Wadau hamjamboni nyote?
Habari njema sana
Joseph ndiye Rais mpya Lebanon akichaguliwa kwa kura 99 kati ya 129
Amehudhuria mafunzo maalumu ya kijeshi ya kupambana na ugaidi nchini Marekani mwaka...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kitu CHADEMA wanapaswa kujifunza kutoka CCM basi ni suala zima la kusimamia maadili, nidhamu,sheria,kanuni, taratibu,miongozo na katiba ya chama.Ndani ya CCM...
MAPINDUZI YA KUMPINDUA MBOWE KWENYE UENYEKITI YALIANZA AKIWA GEREZANI ILE MIEZI MINANE
Soma kwa Makini utafahamu haya yanayo endelea hivi sasa.!!!
Mwenyekiti Mbowe alisha ushinda uchaguzi Mara...
Dr Slaa amekamatwa usiku huu.
Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.
Matukio ya kiusalama kuelekea uchaguzi mkuu 2025 angalia hapa: Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama...
Leo Jimbo Katoliki Moshi lilikuwa na Upadrisho wa mashemasi 18
katika Ibada ya misa hiyo ambayo iliiongozwa Askofu Mkuu
huyo mstaafu wa wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam.
Mwisho wa Ibada...
Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data.
Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote.
Huu ni wizi na...
Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa...
Kwenye maandiko ya biblia tunasoma kwamba Yesu aliibariki mikate mitano kulisha watu elfu tano wakala na wakashiba iliwezekana vipi?
Mathayo 14:19-20
Akawaagiza makutano waketi katika majani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.