Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baadhi ya waendesha pikipiki Jijini Dar es Salaam wameomba kuambatanishwa kwenye ziara za Rais Samia Suluhu Hassan anazozifanya nje ya nchi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wao. Maombi hayo...
6 Reactions
24 Replies
240 Views
Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili. Nilichokigundua kwetu sisi...
14 Reactions
63 Replies
1K Views
Habari, Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya...
10 Reactions
12 Replies
171 Views
Ni vyema timu ya wananchi ikajulishwa Kama kunakuwepo na makombe yanayoeleweka ili waende kuyabeba kwani wamethibitisha ubora wao kwenye eneo ilo! Timu kubwa siku zote inabeba makombe na timu...
5 Reactions
8 Replies
143 Views
Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga...
1 Reactions
8 Replies
88 Views
Jamani nisaidieni, mwenzenu sijawahi kuumwa jino huko nyuma ila sasa nahisi maumivu kwenye meno ya mwisho mpaka sikioni na kushuka kwenye shingo. Sijalala mpaka saivi nisaidieni
1 Reactions
7 Replies
140 Views
Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni...
1 Reactions
2 Replies
16 Views
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
26 Reactions
1K Replies
31K Views
Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu. Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi...
0 Reactions
14 Replies
367 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,708
Posts
49,784,053
Back
Top Bottom