Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu wajumbe, Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza...
2 Reactions
25 Replies
365 Views
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini. Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
18 Reactions
78 Replies
1K Views
Kwenye picha akiwa na wenzie. Wakijadiliana mambo ya msingi kwa mataifa haya mawili.
1 Reactions
4 Replies
87 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili...
2 Reactions
16 Replies
609 Views
Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa. Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima...
12 Reactions
75 Replies
2K Views
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
25 Reactions
1K Replies
30K Views
Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti. Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake...
14 Reactions
66 Replies
1K Views
Ukweli unaendelea kudhihirika ya kwamba Mbinu ya uongozi anayotumia mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Makonda ndio the best way. Alizomewa na kupigwa majungu, waliomfitini wanarudia kutenda kwa...
15 Reactions
37 Replies
1K Views
Napenda kuwasanua vijana na madini haya Mikoa ya shinyanga na wilaya zake pamoja na tabora na wilaya zake baadhi pia umeanza uvunaji wa mpunga tokea mwezi wa4 mwanzoni mpak kuendlea!! Manunuzi...
8 Reactions
38 Replies
849 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,672
Posts
49,783,382
Back
Top Bottom