Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
3 Reactions
66 Replies
546 Views
Mbunge wa viti Maalumu Mkoa wa Mbeya bibie Fyandomo amesema Mtu akienda Mbeya hawezi jua mjini ni wapi Kutokana na Mpungilio wa Jiji lenyewe. Akaonheza kwamba watu wa Mbeya wanataka Jiji lao...
2 Reactions
12 Replies
185 Views
✅Je ni kweli kura zinaibwa wakati wa Uchaguzi mkuu? ✅Mbinu gani hutumika? Zinaibwaje kura husika? ✅Wahusika wa wizi ni nani hasa? ✅Wanaoshiriki na kufanikisha wizi wa kura wwnatunukiwa nini...
1 Reactions
8 Replies
113 Views
Kwa kauliza makonda dhidi ya Wanawake na kusema mke wake ni mzuri kuliko yule dada mpaka dada wa watu akapata trauma, ile ni tabia hii tunayo jadoli hapa? Narcissism: Hii ni sifa ya kupendezwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Natumai wazima wote,. Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae( Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
1 Reactions
21 Replies
115 Views
A
Nasimama na maofisa wa NIDA waliopo katika maeneo mengi nchini. Madereva na wasaidizi wao wanaofanya safari kwenda nje ya nchi kupeleka mizigo wanapewa vitambulisho vya Tanzania na baadaye zile...
10 Reactions
30 Replies
472 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Naandika nikiwa na mshangao mkubwa. Makonda ulianzisha sintofahamu nchini kwa kusimama mbele ya hadhara ya nchi na kulitangazia Taifa kuwa Rais anatukanwa mitandaoni, na wanaomtukana rais ni...
0 Reactions
2 Replies
59 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (MB), akiongozana na Naibu Katibu Mkuu, Nicholaus Mkapa ameongoza kikao kazi cha ujumbe wa Tanzania katika ofisi ya balozi...
0 Reactions
0 Replies
4 Views
Tunakumbusha sio kwa ubaya. Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama...
15 Reactions
63 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,639
Posts
49,723,567
Back
Top Bottom