Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭 Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini...
4 Reactions
11 Replies
60 Views
Msilale bila kujikumbusha kwamba Charles Lecrec (Ferrari) mtoto wa miaka 26 kutoka Monaco, kashika namba 1 uwanja wa nyumbani, Circuit de Monaco kwa kutumia muda wa 2:23:15.554 (saa: dk : sekunde...
2 Reactions
17 Replies
405 Views
SALAAM Imani ya kiyahudi ni imani iliyokuwa na ustaarabu mkubwa kwa kipendi hicho na huenda ndiyo imani iliyozaaa imani nyengine za kidini. Wayahudi akina Abrahamu, Mosses, Daudi, Isaya na...
0 Reactions
69 Replies
598 Views
  • Sticky
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
15 Reactions
17K Replies
2M Views
Wakuu nahisi nina kitu. Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa. Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii. Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini...
11 Reactions
196 Replies
2K Views
Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea...
3 Reactions
151 Replies
10K Views
nna mdogo wangu alikua shule moja mkoa wa Dodoma, akakamatwa na simu shuleni na mkuu wa shule akiwa form 6 siku chache kabla ya mtihani.mkuu akakaa na simu hiyo na mdogo wangu alipomaliza shule...
2 Reactions
8 Replies
56 Views
Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
10 Reactions
227 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,631
Posts
49,723,343
Back
Top Bottom