Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwenye magari ukikaa ukaanza ku falling a sleep lazima shingo iende upande wa kulia sijawahi kujikuta nimesinzia Kwa upande wa kushoto. Tafiti zinahitajika ili tujue haswa sababu ya hili jambo
1 Reactions
3 Replies
55 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
76K Views
Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
29 Reactions
31 Replies
610 Views
Nimenukuu kutoka mtandao wa X kwa ndugu Martin Maranja Masese, na nimeamua kuiweka hapa ili na nyinyi Wakuu muweze kutoa maoni yenu. Maana habari za vyombo vikubwa vya habari kama Sauti ya America...
3 Reactions
6 Replies
7 Views
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25 Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
18 Reactions
75 Replies
1K Views
Msing'oe bendera ya chama chochote , bendera haipigi kura, ushinde ubaya kwa wema - Dkt. Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto biteko akizungumza leo juni 6, 2024 katika...
1 Reactions
8 Replies
82 Views
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili. Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara...
2 Reactions
68 Replies
997 Views
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye a) Uchumi b)...
8 Reactions
11 Replies
209 Views
Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?" Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo...
15 Reactions
42 Replies
896 Views
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka nuda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi. Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu
0 Reactions
5 Replies
56 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,860
Posts
49,813,263
Back
Top Bottom