Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha.
Sifa zangu ni
Mweusi
Mkristo
Ninafanya bihashara
Nina...
Habari wadau, poleni na majukumu yenu. Samahani naomba mnishauri katika jambo lifuatalo. Mimi ni graduate katika fani fani ya Mazingira. Nimeshasota sana mtaani pasipo kuwa na kibarua au ajira kwa...
Ni muda sasa umepita tokea serikali kurudisha umiliki wa hospital ya Dar group na kuwa chini ya Jkci ingawa awali ilitegemewa baada ya serikali kuchukua rasimali zote za hospital hiyo ikiwemo...
Kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya nyasa ninawasihi wenzetu katika demokrasia kumchagua kwa kishindo Joseph Mbilinyi (Sugu). SUGU ANATOSHA. Sababu ni zifuatazo;
1. Hana njaa ni...
Wanaume wenzangu naomba mtambue kwamba kama kuna kipindi ambacho unatakiwa kuonyesha mapenzi ya kiwango cha SGR / mapenzi ya hali ya juu ya kujali sana ni pale mkeo anapokuwa mjamzito.
Kipindi...
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.