Wakuu nahisi nina kitu.
Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa.
Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii.
Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesema anawashangaa wanaojitokeza kusema anawadhalilisha Watumishi baada ya yeye kuwakosoa Wala rushwa na Wazembe wakati Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa...
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.
ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.
lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
---
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda...
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
nna mdogo wangu alikua shule moja mkoa wa Dodoma, akakamatwa na simu shuleni na mkuu wa shule akiwa form 6 siku chache kabla ya mtihani.mkuu akakaa na simu hiyo na mdogo wangu alipomaliza shule...
Ukiacha Ufalme wa Mungu jambo la pili lililotawala hotuba, story mifano ya Yesu lilikuwa ni Pesa/Mali na uchumi. Hili alilizungumzia sana kuliko Maombi na Imani.
Zipo sababu nyingi, ila hii ni...
Hakuna kitu kinauma kama kugundua kwamba ulipigwa kwenye biashara or whatever regardless ni pesa kiasi gani pia hakuna kitu kibaya kama kutaka kumuibia mtu ambaye anajua actual amount kwahio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.