Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu bila kipotwza Muda Ni week imepita toka William ruto, rais was Kenya kufanya ziara Marekani na kelele kubwa ilisikika baada ya rais kutumbua Kia's kikubwa cha pesa za walipa Kodi Basi huku...
3 Reactions
15 Replies
476 Views
Ndugu wajumbe, Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza...
4 Reactions
35 Replies
716 Views
Tunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda...
1 Reactions
4 Replies
13 Views
Baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa Kanda ndugu MSIGWA ameanza kutoka vimanenomaneno na vyomba vya habari kuhusu kuhujumiwa. WEWE MSIGWA CHADEMA WANAKUJUA kwamba WEWE ni kijana wa mwendazake...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
15 Reactions
83 Replies
740 Views
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝 - Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
5 Reactions
33 Replies
570 Views
Natafuta Mtaalamu wa Kurejesha Mahusiano. Malipo ni baada ya kazi.
11 Reactions
59 Replies
792 Views
Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa Hivyo nawapa darsa za Quran...
1 Reactions
20 Replies
277 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na...
0 Reactions
18 Replies
352 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,919
Posts
49,789,274
Back
Top Bottom