Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

TANZANIA YANG’ARA AJENDA YA MAJI KWA USTAWI WA WOTE,AWESO ATOA KAULI Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
16 Views
Kosa langu nini ni Vannesa? Mchana usiku bado nakuwaza Vannesa. Siku wiki miaka inapita bado nakuwaza Vannesa . Kosa langu nini Vannesa? Kwa jina naitwa Assenga Mashauri . Ni kijana wa miaka 28...
4 Reactions
51 Replies
590 Views
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
21 Reactions
171 Replies
5K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Habari Wakuu! Hali ni tete. Maji ya shingo pûa kwenye Ukingo wa maji. Wanawake wengi huku mtaani wanapumulia mashine. Ingawaje wanajitutumua làkini hakuna matumaini ya kuchomoza, Kula kwa jasho...
5 Reactions
40 Replies
182 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Mchezo wa kwanza wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika unapigwa leo katika dimba la Olympique Hammadi Agrebi baina ya wenyeji Esperance dhidi ya mabingwa watetezi Al Ahly. Mchezo huo unatarajiwa...
9 Reactions
174 Replies
2K Views
Hebu tuwe serious! Hivi hawa wavuta bangi ndiyo wawe ndiyo brand ya mkoa? Hehehe! Ahaa!
9 Reactions
23 Replies
235 Views
Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe...
3 Reactions
11 Replies
294 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka Ziko wapi? Zilifika salama...
9 Reactions
54 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,525
Posts
49,665,276
Back
Top Bottom