Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari Wakuu! Hali ni tete. Maji ya shingo pûa kwenye Ukingo wa maji. Wanawake wengi huku mtaani wanapumulia mashine. Ingawaje wanajitutumua làkini hakuna matumaini ya kuchomoza, Kula kwa jasho...
5 Reactions
37 Replies
182 Views
Kosa langu nini ni Vannesa? Mchana usiku bado nakuwaza Vannesa. Siku wiki miaka inapita bado nakuwaza Vannesa . Kosa langu nini Vannesa? Kwa jina naitwa Assenga Mashauri . Ni kijana wa miaka 28...
4 Reactions
48 Replies
590 Views
Wadau hamjambo nyote? ======= Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT). Kamati hiyo...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Hebu tuwe serious! Hivi hawa wavuta bangi ndiyo wawe ndiyo brand ya mkoa? Hehehe! Ahaa!
9 Reactions
22 Replies
235 Views
Unafanya nn kudhibiti upungufu wa Damu? Kama tulivyoona huko nyuma tatizo hili la upungufu wa damu ni kubwa hasa kwa wajawazito unaweza kupitia hapa kujionea Wajue madhara ya Upungufu wa Damu Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe...
2 Reactions
10 Replies
294 Views
TANZANIA YANG’ARA AJENDA YA MAJI KWA USTAWI WA WOTE,AWESO ATOA KAULI Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
2 Reactions
2 Replies
16 Views
Viongozi tendeni Wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti Muangalie Tundu Lisu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu. Unajua hadi inatia woga hata kule...
3 Reactions
15 Replies
118 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka Ziko wapi? Zilifika salama...
9 Reactions
52 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,525
Posts
49,665,276
Back
Top Bottom