Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
48 Reactions
338 Replies
6K Views
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya...
0 Reactions
3 Replies
31 Views
Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray. Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
2 Reactions
10 Replies
88 Views
Majira ya saa 6 za mchana (sawa na saa 10 jioni Indonesia), vijana wa Taifa Stars watamenyana na timu ya Taifa ya Indonesia katika mechi ya kirafiki. Uwanja ni ule ule GBK Madya Stadium (Gelora...
1 Reactions
9 Replies
42 Views
Nimekuwa nikiona wafanyabiashara mkitoa bidhaa na kuziba barabara mnakera mno . Mmeanza tabia za machinga . Ukifika Mwanza Mitaa ya Liberty barabara zimejaa vyombo madiaba, magoro, nguo Midori...
1 Reactions
5 Replies
65 Views
Wakuu mambo ni vipi wapenzi wa kabumbu. Huyu Jamaa ni kama Bado anaubonda mwingi sana, kwanini asingeendelea kupiga mbungi??
4 Reactions
16 Replies
175 Views
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku. Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii. Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
8 Reactions
25 Replies
387 Views
Kama inavyojieleza ushawahi kumpenda demu sio ligi yako. Ukaamua uende kwa babu.
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Hello JF... Wewe ni mtu muhangaikaji kama wengine hapa mjini. Mtu anakulilia shida hasa ni nduguzo. Unamsaidiaga mara kwa mara pale unapokuwa nacho. Ila shida ni moja siku ukisema bana sina. Hapo...
4 Reactions
9 Replies
112 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,444
Posts
49,775,510
Back
Top Bottom