Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
Kosa langu nini ni Vannesa?
Mchana usiku bado nakuwaza Vannesa. Siku wiki miaka inapita bado nakuwaza Vannesa . Kosa langu nini Vannesa?
Kwa jina naitwa Assenga Mashauri . Ni kijana wa miaka 28...
Neti inakera sana hususa ni kwetu wanaume weusi warefu, unakuta inakugusa gusa miguuni na kichwani, inakera sana, raha ya usingizi inatoweka. Halafu kuna mbu wanafanya mashambulizi kutokea nje...
Wakuu nimefika eneo la maduka ya manzese kwa ajili ya kufanya manunuzi yangu binafsi ila nikakuta maduka yote yamefungwa kwa tetesi zilizopo ni kwamba kuna mgomo unaoendelea...mwenye ufahamu...
Baby . Reo nirienda kupima mareria nikaambiwa na dokita nina yutiyai,naomba unitumie era ya dawa,nitafulai sana........
Mwanamke wa hivi ni bora nikae mwenyewe
Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua...
Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni...
Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki.
Rejea kichwa cha habari hapo...
Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.