Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu. Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini...
4 Reactions
171 Replies
1K Views
Wakuu bila kipotwza Muda Ni week imepita toka William ruto, rais was Kenya kufanya ziara Marekani na kelele kubwa ilisikika baada ya rais kutumbua Kia's kikubwa cha pesa za walipa Kodi Basi huku...
0 Reactions
9 Replies
94 Views
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
13 Reactions
139 Replies
3K Views
Urusi imeishutumu Nato na Marekani kwa "kuchochea kiwango kipya cha mvutano" baada ya Marekani na Ujerumani kuwa washirika wa hivi punde kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Nimeona kwenye baadhi ya groups za Whatsapp watu wakiweka R.I.P mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva Profesa J. Kuna ukweli wowote?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anaendelea na ziara yake ya kuelimisha wananchi huko Iramba, leo ilikuwa zamu ya Kijiji cha Kyalosangi, Kata ya Kinampanda, Iramba Magharibi. Pamoja na...
3 Reactions
13 Replies
161 Views
Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
5 Reactions
21 Replies
268 Views
  • Suggestion
Hivi kila mmoja wetu hapa sianaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, ni wazi kila mmoja wetu hapa anaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, hivi...
2 Reactions
21 Replies
179 Views
Chama cha African National Congress (ANC) kimepoteza wingi wake wa wabunge katika matokeo ya kihistoria ya uchaguzi ambayo yanaiweka Afrika Kusini kwenye mkondo mpya wa kisiasa kwa mara ya kwanza...
4 Reactions
20 Replies
868 Views
Ndugu wajumbe,ubora wa Vyuo Vikuu hupimwa Kwa Wingi wa tafiti na machapisho ya kitaalmu. Kwa mujibu wa taarifa ya jarida la masuala ya Elimu ya Juu,Limetaha Vyuo 10 Bora Barani Afrika Kusini mwa...
3 Reactions
24 Replies
354 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,587
Posts
49,779,709
Back
Top Bottom