Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu. Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au...
6 Reactions
71 Replies
801 Views
Nilitembelea website flani wanaposti mikeka imetiki yani sure odds fixed matches, nikalipa dola 30 takribani shilingi elf 80 kuungwa kwenye group, humo ndani ni upuuzi mtupu game wanazoweka ni...
8 Reactions
51 Replies
1K Views
Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20...sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact ...scientific theories Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi...
4 Reactions
24 Replies
227 Views
Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Omary Mchengerwa, Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa...
16 Reactions
80 Replies
2K Views
1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
4 Reactions
192 Replies
3K Views
Is it a coincidence? Lissu alitoa a "Heil Hiller" salute kwa wananchi na wanachama wake wa CHADEMA. Ukisoma historia ya Adolf Hitler, unaweza kulinganisha hawa watu wawili. Je.............?
2 Reactions
17 Replies
261 Views
Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania. Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja...
7 Reactions
39 Replies
917 Views
Usihangaike kuhusu kusajili biashara yako tutakusaidia Huduma zetu: 1. Kusajili jina la biashara BRELA 2. Kusajili kampuni 3. Leseni ya biashara 4. Kusajili NIDA 5. Social Media Management 6...
4 Reactions
137 Replies
3K Views
Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu. Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi...
2 Reactions
31 Replies
423 Views
Denis Mpagaze _________________________ Moja Wema na ubaya vyote ni mbegu. Ukivipanda vinaota na mvunaji ni wewe uliyevipanda! Tunakumbushana tu ukipanda bangi huwezi kuvuna mahindi! Mbili...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,033
Posts
49,649,501
Back
Top Bottom