Recent content by Zurie

  1. Zurie

    Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

    Wafuasi wa CHADEMA utawaona wana akili hadi Uenyekiti wa Mbowe ukiwa challenged!
  2. Zurie

    Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

    Ukiwa ndoani ukianzisha uhusiano na asiye na ndoa unabambwa mwezi 1 tu. Hawa ndo wale saa 12 anakuamsha na “Goodmorning my love”. Saa 4 usiku anapiga. Nani anataka dhahma??
  3. Zurie

    DOKEZO Mkurugenzi City Casino Mbeya ambaye ni raia wa kigeni atishia kuua Waandishi wa Habari wanaofuatilia tuhuma za kumfanyia ukatili mke wa mtu

    Let me tell you something; kuna wanawake huwa ni weak sana when it comes to wanaume. Yaani unakuta mwanaume dhaifu tu ila anaweza akamdunda hapo akamchakaza sababu labda upbringing yake alikuwa anaambiwa "usije ukashindana na mwanaume" au "mwanaume ni mwanaume tu". Inawezekana kabisa due to...
  4. Zurie

    Walimu wengi wa ndoa ni wachonganishi wa familia: Pesa zote zinapaswa kusalimishwa kwa Mume kichwa cha familia

    Ngoja nikwambie ndugu yangu. Wanaume mmeharibiana wenyewe kwa wenyewe. Wenzenu washenzi (laanakum), walinyanyasa na wanaendelea kunyanyasa wake zao (na watoto) financially na kupelekea movement ya sisi wanawake kujilimbikizia pesa. Huko nyuma wanawake wengi hawakuwa wachoyo wala wabinafsi.
  5. Zurie

    Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

    Sijapenda kwenye huu uzi kila mtu anasema “basi kaoe mzaramo”. Kwamba mzaramo ndo opposite ya mchaga au?
  6. Zurie

    Kama hupendi kelele usioe

    “Unaidhinisha”
  7. Zurie

    Kama hupendi kelele usioe

    Na nyie ndo mnafaidi mema ya nchi. Ukiweza tu kuishi na kelele za mke baas utakula maini, figo na vyote vya ndani.
  8. Zurie

    Kama hupendi kelele usioe

    He! Basi pole kwa mume wangu kipenzi.
  9. Zurie

    Nimeshindwa kuvumilia, nimetembea na mke wa rafiki yangu

    Hongera, umetumika kwenye mpango wa kisasi. Nahisi jamaa naye kala shemeji yake…
  10. Zurie

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Sisi makoo yetu ndo yateseke. Wafadhilaka Wapundaka!
  11. Zurie

    Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Siongezi kitu….wote wamekazania harufu harufu. Yaani wanaume wooote duniani ni wakali wa sex🤣🤣🤣
Back
Top Bottom