Kila kitu Mtaka Mtaka Mtaka, 🤣🤣
Sasa kama MNEC alikuwa anamiliki Soko la madini na Sheria ziko wazi Soko la madini lazima iwe mali ya Serikali Mtaka alikuwa wapi?
Kama wachina wa CHICCO walikuwa wamebumba barabara zaidi ya KM20 MWIGUMBI -MASWA ndio Kafulila kuwaambia warudie kwa gharama zao na...
Kilichomwondoa Kafulila sio Pamba,
Kilichomwondoa ni Kumnyanga'nya MNEC na Mbunge Soko na madini Simiyu na kulirudisha Serikalini haya mengine ni porojo tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.