Mbona Rwanda ina madeni makubwa tu imayodaiwa huko nje!!? Someni kila kitu kiko wazi kwenye mitandao. Andika tu Rwanda Foreign Debt. Kisha mrudi hapa na ngonjera zenu.
Ruto unayeamini anajielewa kuna thread huku inamhusu kwamba yeye na Rais wa Nigeria ndio wanaoongoza kusafiri nje. Hivi kwanini tusiwe na thread kwenye sticky pale juu ambayo tutakuwa tunahesabu hizi safari za nje ili miaka 10 ikimalizika tujue idadi ya safari za nje ili tupime na matokeo yake!!?
Hata mimi ningekuwa ndio Rais na nchi hii ilivyojaa matatizo na malalamiko ningekuwa ninakaa kidogo kisha huyoooo ninachomoka kwa speed ya mwewe. Hata Jk alitumia strategy hii hii. Ukikaa sana hapa nchini na kelele hizi unaweza kuchanganyikiwa. Acha mama akapoteze mawazo akirudi hapa anakaa...
Kwanza nimpongeze mleta mada very analytical and well narrated. Safi sana. JF ingekuwa na vijana kama hawa hata robo tu Nchi hii ingefika mbali. Contrary mada nyingi za JF ni upumbafu upumbafu tu! Safi sana kaka, ila ninahisi wewe ni Mhaya kwa hizo ri badala ya li.
Naomba ukipata wasaa uongelee...
Upo sahihi sana Tatizo jingine ni Watumishi wa pale UTUMISHI kujiona miungu watu na kutisha tisha watumishi. Kwani hawawezi kufanya kazi bila vitisho??
Huu Mfumo wa PEPMIS ni kama walikurupushwa ila kiukweli haujakamilika, Pia haupo realistic ni rahisi watumishi kudanganya kuhusu majukumu yao...
Watanzania wamepata mada ya kupotezea muda. Watz hawana muda wa kuzalisha ni wavivu na majobless. Wamepata jambo la kutumia bando. Hamna udhalilishaji pale. Kile chama kilichotoa tamko nacho hakina agenda na vitu vya kufanya.
Hii mada ipo rellevant kabisa kabisa ukitaka kuamini nenda kigamboni wakati watu wanapanda na kushuka kwenye pantoni...ni ugoi goi wa hali ya juu na wengi sio hata watu wazima ni wanafunzi wa IFM na vyuo vingine hapo mjini na waajiriwa mbali mbali ambao bado wana nguvu.
Njoo Dodoma uone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.