Recent content by Rais wa Matajiri

  1. Rais wa Matajiri

    Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

    Kafulila ni hazina kubwa sana kwa Taifa, Sijui wengine mnamuonaje ila jamaa anaakili sana.
  2. Rais wa Matajiri

    Hakuna maridhiano yoyote baina ya CCM kama taasisi na CHADEMA zile zilikuwa ni stori tu za hali ya kisiasa

    Dogo anampa Mbowe za uso 🤣🤣🤣 Huyu Abdul Sasa watamfikiaje hawa wakubwa
  3. Rais wa Matajiri

    Kafulila: Mwekezaji anayesambaza maji Jiji la Kigali Rwanda ameonesha nia ya kuwekeza kwa Ubia na Serikali ya Tanzania

    Huenda hili likachochea uwajibikaji zaidi, Kama ni Kwa Kagama huyo mtu atakuwa ni Mwekezaji sahihi
Back
Top Bottom