NANI ALISTAHILI 🎵🥱
Sehemu ya 6.
MTUNZI: Madodi ✍🏼
.....ILIPOISHIA.....Basi bwana hatimae akaondoka nilibaki nalia kama nimefiwa alivyosikia nalia akarud Tena ndani😛 akaniambia haya shika biblia ( aliniletea hiyo biblia kama zawadi ) akanipa mistari ya kusoma basi akanambia niikariri anakuja...
NANI ALISTAHILI 🎵🥱
Sehemu ya 5
MTUNZI: Madodi ✍🏼
........ILIPOISHIA........"Naumia my toa kwanza baby jaman mimi nina muda mrefu itoe kwanza,😌"
Jamaa ndo kwanza anakazana hakuchelewa Wala hakuwai kama kuku bao la kwanza si mnalijua ..🙈 akawa amemaliza aisee alichukua taulo akanifuta nayeye...
NANI ALISTAHILI 🎵🥱
Sehemu ya Nne
MTUNZI: Madodi ✍🏼
Basi madereva wakaja pale nikawaelezea walijaribu kuitafuta bajaji lakini walisema kashaenda hadi akirud na hatuna uhakika nae maana hujakariri hata namba Wala picha ya bajaji☹ nisemeje Sasa 😔
Niliishia kuwapa namba ili kama wangemuona basi...
SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU.
SEHEMU: 10
MTUNZI: Madodi ✍🏼
INSTAGRAM: @middotz_
.
Nilizidi kumshusha moyo kila mara nilipokumbuka jinsi watu walivyonisema mtaani, lakini moyo wangu ulikuwa na kinga moja kubwa—mapenzi kwa Zuhura. Kila siku mapenzi yangu kwake yalizidi...
SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU.
SEHEMU: 9
MTUNZI: Madodi ✍🏼
INSTAGRAM: @middotz_
Wakati mmoja, nilikutana na kijana mmoja mtaani akiniangalia kwa dhihaka. "Kaka, hivi kweli huyo mtoto ni wako? Hata Haaland mwenyewe angekuja leo, singejua tofauti!" alisema huku akiangua...
SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU.
SEHEMU: 8
MTUNZI: Madodi ✍🏼
INSTAGRAM: @middotz_
Baada ya vituko vya kila aina, nilijikuta nikifikiria suluhisho la pekee ambalo lingeweza kuziba midomo ya watu waliokuwa wakiniteta vibaya mtaani. Nilihisi kuwa, kama ningepata mtoto mwingine...
NANI ALISTAHILI 🎵🥱
Sehemu ya Tatu
MTUNZI: Madodi ✍🏼
WHATSAPP: 0655 969 973
👇🏽
ILIPOISHIA....basi sikuta kumcheat mpaka nilipomaliza form 6 nikarudi Kwa dada tulikuwa tunapaita jeshini siyo Kwa kununa kule usipochambwa asubuhi, jioni ni Yako dada🤣 yaan hata akikuona umekaa tu Hauna Kaz zote...
SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU.
SEHEMU: 7
MTUNZI: Madodi ✍🏼
Whatsapp:
👇🏽
Siku moja, nilizungumza na mmoja wa marafiki zangu wa karibu, ambaye alikuwa akijua kinachoendelea. Tulikuwa tumekaa kwenye baa ndogo kule Mwenge, nikinywa chai ya moto.
"Kaka," alinianza kwa sauti ya...
SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU.
SEHEMU: 6
MTUNZI: Madodi ✍🏼
Whatsapp: 0655 969 973
Nilipoanza kufanya kazi kiwanda cha dawa kule Mwenge, maisha yangu yalikuwa na changamoto nyingi. Shift za usiku zilikuwa zikinichosha sana, lakini sikuwahi kufikiria kwamba changamoto kubwa...
NANI ALISTAHILI 🎵🥱
Sehemu ya pili
MTUNZI: Madodi ✍🏼
WHATSAPP: 0655 969 9
Kabla ya kuendelea na kuhusu Rick, Naomba unafahamu kidogo.
Mimi naitwa Hesha, wakati nakutana na Rick FB nilikuwa naishi Kwa dada Yangu huko kigoma. Ila kabla ya kwenda Kigoma ni kuwa tangu nilipohitimu masomo yangu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.