Recent content by Mzee wa Twitter

  1. M

    UENYEKITI WA MBOWE UNAWATESA CCM JE NI UJINGA WA MAKADA WA CCM KUTESEKA?

    Inashangaza na kustaabisha kuona MAKADA wa CCM wakiteseka sana na UENYEKITI wa KAMANDA MBOWE.Najiribu kujiuliza ni UJINGA wa Hao MAKADA kuacha kuhangaika na CHAMA chao na kuhangaika na UENYEKITI wa MBOWE?Sikumtarajia mtu kama Kigwangalah kushindwa kusema UKWELI juu ya KILICHOMFUKUZISHA Bwana...
  2. M

    Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

    Sasa nimeamini kuwa Hamisi ni Mjinga hajui kilichomwondoa Zitto chadema au anajizima Ufahamu
  3. M

    Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

    HII NCHI MPAKA 2030 ITAKUWA IMEUZWA PAMOJA NA MATOZO BADO KOPA KOPA INAENDELEA
  4. M

    Ndugu yangu Freeman Mbowe jiandae, Tundu Lissu anajiandaa kupambana na wewe kwenye nafasi ya uenyekiti

    SIKUJUA KAMA UNA UJINGA HUO ACHA UCHONGANISHI KWA HIYO NA MAMA AJIANDAE KINANA ANAITAKA ILE NAFASI
  5. M

    Pacha wa Makonda ni Chacha wa Tabora

    Utawala wa Maigizo huo kutafuta SIFA kwa kuwaumiza wengine
  6. M

    Chama cha wasio waislam wala wakristo kinahitajika

    SIKUJUA KAMA NA WEWE NI MJINGA KIASI HICHO
  7. M

    MBOWE AMEONGOZA CHADEMA MIAKA 20, ARUHUSU MAWAZO MAPYA

    KWANINI USIIAMBIE CCM IMEONGOZA MIAKA 62 KWANINI ISIRUHUSU NA VYAMA VINGINE?
  8. M

    RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

    Hana hekima huyo mpaka atakapomwomba Radhi mzee warioba kwa kumpiga na Mzee lowassa kwa kumdhalilisha kuwa katelekeza mtoto
  9. M

    Gari ya Tundu Lissu ni kielelezo cha gharama za kuitoa CCM madarakani. CHADEMA tumnunulie Lissu gari jingine

    Hakika nadhani ni Sahihi kwa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kuliweka MAKUMBUSHO Gari la Makamu Mwenyekito wake Mh.Tundu Lissu ktk MAKUMBUSHO ya CHAMA hicho .Kufanya hiyo kukiambatana na HISTORIA NZIMA ya namna alivyopigwa Risasi na WANAOJULIKANA yenye na Dereva wake itasaidia Vizazi vijavyo...
  10. M

    Tundu Lissu: Nimekabidhiwa gari bila plate number ila nimepenyezewa Taarifa kuna mtu anatumia namba za gari yangu iliyoshambuliwa!

    Kazi ya kumkamata mtumiaji ni ya Polisi wakati mwingine shirikisha AKILI bro
Back
Top Bottom