Kuna namna mbalimbali. Mwanzoni ni ushirikiano Kati ya Wizara za Ujenzi na Afya katika kuandaa mabehewa hayo ya tiba. Uendeshaji wake utafanywa na Afya kwa kubadilishabadilisha madaktari na wauguzi katika mazingira ya kawaida. Wakati wa dharura (janga kubwa kama ajali, mafuriko, tetemeko la...
Swali ni Je SGR na njia yake ni bora zaidi au mradi kama huu ufanyike kupitia reli ya Kati ambayo tayari ina mtandao mkubwa lakini ina changamoto ya umeme wa kuaminika?
M. M. Mwanakijiji
UANZISHAJI WA TRENI YA KITABIBU IFIKAPO 2027
Introduction:
Tanzania, like many developing countries, faces significant challenges in providing adequate healthcare services to its population, particularly in remote and inaccessible areas. In response to this need, we propose...
Kama siyo wazimu huu ni nini? Yaani, kama taifa mnasimama na kupiga makofi kwa kupewa misaada ya cherehani. Kama Wachina wameamua kutoa msaada kusaidia wanawake; kwanini wasiamue kujenga high school za wasichana za kisasa mbili ambazo zitawanufaisha zaidi ya watoto 125? Misaada mingine ni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.