Recent content by Muscovy

  1. M

    Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

    Unejaza Lin mara nyng huwa wiki tatu toka kujaza unatakiwa uwe seriously sana ufuatiliaji
  2. M

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Training na semina itakuwa mwez huo huo wa kumi ??? Fununu ya majina kutoka lin mkuu..
  3. M

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mzigo mpya huo mkuuu kwenye page yao Instagram wame post ....naona madogo wako kozi sahivi soon wata maliza kunako uzima
  4. M

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna tangazo nimeona ....wamekuja kuchukua watu wengine tena saf sanaaa
  5. M

    Ajira Jeshi la polisi

    Tangazo limetoka leo
  6. M

    Ajira Jeshi la polisi

    Ahaaa nimekupata mkuu thanks sahihi ahaaa Wana kuja ku zoom jobless waki pambania ugali
  7. M

    Ajira Jeshi la polisi

    Nime pita website yao nimeona tangazo lao ....Kuna group Fulani mdau alituma Hilo tangazo jamaaa huwa hatumi matango pori mkuuu ila police wametisha asee hawapoi ju watu wamemaliza wakaja wengine Leo wengine tena
  8. M

    Ajira Jeshi la polisi

    Jamaaa ka post tangazo la ajira kutoka jeshi la police zimetoka nyingine
  9. M

    Ajira Jeshi la polisi

    Kikubwa check namba mzee
  10. M

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Zoezi litakuwa wiki ya kwanza ya mwez wa sita?
  11. M

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Shukrani mkuu Kwa mrejesho mchakato mrefu sana aseee nikajua baada kumaliza wote waliondoka ....Hawa madogo wame report 1/Dec mwaka jana wao ku funga koz lini??
Back
Top Bottom