Recent content by MAWEED

  1. MAWEED

    Watanzania wengi ni walala hoi wanajifariji na mitandao

    Halafu hapo uwe unaumwa HIV utajuta,Hakuna maisha ya kujifariji,hayo unayoishi ndio maisha yako
  2. MAWEED

    Zama za kujiongeza zimeshapitwa na wakati

    Unakuta nyumba ya vyumba vi3 halafu watoto mpo 7..... Lazima ulazimishwe kuhama nyumbani
  3. MAWEED

    Swali analotakiwa kumuuliza mwanamke ukiwa unatafuta mpenzi ni kama ameolewa. Akijibu hapana basi huyo yupo single

    Ndio majibu yenu ya kitapeli mnafanya mwisho tunawaua.... Yani niunge tela kwa kurubambe Lina mijanaume 10 sijui,halafu useme nyoko nyoko
  4. MAWEED

    Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

    Halafu huwa wanavaa masendo flani Yale makubwa ma CT
  5. MAWEED

    Haya sasa tujuane wewe kama mwanaume upo kundi gani hapa?

    Sina hela yamchezo mchezo njoo kwangu tukae wote
  6. MAWEED

    Pochettino aondoka Chelsea mwaka mmoja tangu aanze kuinoa klabu hiyo

    Aende man utd atawafaa😜
  7. MAWEED

    Je, unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo?

    Hatuwezi kufanana mkuu ndio maana wewe ni mwanamke umeolewa na wanaume tunakuchakata
  8. MAWEED

    Je, Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote?

    50/50 inatunyonya wanaume mzee
  9. MAWEED

    Mnanitenga sana wakuu

    Mbona hujawahi kunimention mkuu
  10. MAWEED

    Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

    Marafiki Wana rika lake lkn hawadumu we tafuta hela mkuu watakuja marafiki wa kweli na hautawachoka
  11. MAWEED

    Mnanitenga sana wakuu

    Wenzio tuna muongo mmoja humu na hatujawahi hata kutajwa kwenye walevi/wavivu/watu wa hovyo na tunaenjoy JF.... Wewe mwezi mmoja Tu unataka moderator wakufahamu wewe ni nan? Hata ban hujawai pigwa unalazimisha kujulikana
  12. MAWEED

    Nimefanya maamuzi magumu naomba msaada hapa

    Acha ujinga hizo alfu 20 unazotaka ukanunue kitoto cha mbuzi bora umnunue mbuzi uchinje ule mpaka ujambe
  13. MAWEED

    Najishangaa sana

    Nenda kazing'oe uziuze
  14. MAWEED

    Msaada: Ngoma ya Jebby

    Mbona kuna Uzi WA haya mambo,kwanini usingeenda kuuliza huko
Back
Top Bottom