Recent content by Logikos

  1. Logikos

    Nchi za Uarabuni wananunua mbolea ya ng'ombe. Tuchangamkie fursa

    Again cost ya hayo yote ni kiasi gani na unakwenda kuuza kiasi gani Nadhani swali bado halijajibiwa..., Huwezi kuwaambia watu wachangamkie fursa bila kufanya due dilligence, By the way meli does not care about the weight rather the volume ? Hivi unajua hata town cost ya mbolea trip moja (plus...
  2. Logikos

    Nchi za Uarabuni wananunua mbolea ya ng'ombe. Tuchangamkie fursa

    Cost of Transportation hicho kinyesi ni kiasi gani ? Usije ukawa unatumia shilingi mbili kusafirisha ili upate shilingi moja na nusu...
  3. Logikos

    Natafuta soko la mkaa mkoani Tanga na Dar es Salaam

    Mkuu hujui kampeni za Nishaji safi ? Kama una mzigo nakushauri uza haraka au kama unataka ndio uanze hii venture nakushauri uache, nadhani serikali itakuja na masheria ya kufa mtu, kwahio kama una uwezo wa kupenyeza poa huenda bei ikaongezeka maradufu...
  4. Logikos

    Kuelekea 2025 Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

    Makes you wonder the future of Politics..., Huku na kule deep down ni yale yale tu.... They way forward we need to automate democracy we can depend on individuals ambao deep down humans are weak and easily corruptible...
  5. Logikos

    Kwanini 99.9% ya waliokamatwakwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam

    Sikatai Serikali au Watu wa aina fulani kuweza kutumia propaganda fulani ili kuwatisha watu fulani au kuwatoa kwenye reli au kufanikisha maovu yao (Hata Hitler alitumia sana jambo hili kwa kuwaaminisha watu kwamba matatizo yao yote yanasababishwa na Jews)... Lakini point yangu kubwa ni kwamba...
  6. Logikos

    Kwanini 99.9% ya waliokamatwakwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam

    Ugaidi ni nini ? kama tukio ni la kigaidi na limetokea hilo sio fake..., lakini kama aliyefanya ni mkristu au muislamu au hana dini lazima kila mtu akane (kama wastaarabu tunatakiwa kukana mabaya no matter nani ameyafanya) Sasa wewe ukija hapa na kutetea kwamba wale sio waislamu (naona you have...
  7. Logikos

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

    Ni dawa za aina ngapi ? Au ni magic wand ? Sababu kama kutokuona kuna sababu nyingi (causative) iweje tiba moja ifanye yote ? Sisemi kwamba huu ni uongo lakini I hate over selling; inapelekea muuzaji kuonekana tapeli
  8. Logikos

    Kwanini 99.9% ya waliokamatwakwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam

    Mimi naangalia outcome kama kuna maafa / vitisho vimetokea basi kwangu mimi haya hayafai no matter nani amefanya awe muislamu, mkristu au rasta..., lakini issue ni kwamba hao waislamu, wakristu au ma rasta inabidi wawakane kwamba wanachofanya sio imani yao Umeuliza hatima yake ? Mimi it does...
  9. Logikos

    Kwanini 99.9% ya waliokamatwakwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam

    Labda nikuulize unakubalina na wanaotumia vitisho na unyama kufanikisha mambo yao kwamba wanawakilisha Imani ya Kiislamu ? Sababu kuna mawili either hoja yako ni kwamba wanasingiziwa au sio waislamu ni waharifu wanaoupa uislamu jina baya au unakubaliana na wanachofanya lakini wewe unakiita sio...
  10. Logikos

    Kwanini 99.9% ya waliokamatwakwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam

    Mandela alikuwa ghaidi kwa macho ya makaburu, labda cha kujiuliza wanaotumia vitisho na nguvu / unyama kufanikisha mambo yao wengi wao ni Imani ipi ? Kama kuna loophole ya kuwa-brain wash watu kwamba unyama wanaofanya ni jambo jema, nadhani cha maana ni kwa imani hio kujitenga na hao watenda...
  11. Logikos

    Kwa Mfanyabiashara Anaeweza Kuzalisha 1m kwa Mtaji wa 5m kwa wiki

    Kwamba akupe knowledge muingie wote front alafu mugawane nusu kwa nusu; ni nini kinakuzuia usimbwage wiki ya pili ? By the way ndani ya mwezi na wiki atakuwa amezalisha huyo mtaji kwanini akutafute wewe na asijizalishie yeye ili kila kitu ale mwenyewe ? Ingawa theoretically kwenye makaratasi...
  12. Logikos

    Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

    Inategemea na positioning yenu kama hamtegemei kila kitu kutoka ughaibuni na ni wazalishaji sio kila kitu wanunuzi mtashangilia pesa yenu ikiwa bei rahisi.... Ila ndio hivyo sisi ambao hata kupikia tu tunataka tuwe tunaagiza gesi kutoka nje tutaendelea kuwa watumwa wa dollar...., Ingawa hao...
  13. Logikos

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali 'aweka ngumu' Makubaliano baina ya Timu ya Serikali na Wawekezaji wa Mradi wa Gesi wa Lindi. Ataka warudi mezani

    Tunahangaika kuweza kuuza nje wakati huku tunatumia mapesa lukuki kununua mafuta nje as well as kununua gesi (LPG) eti ndio Nishati safi ya Kupikia ? Safi sana CAG lazima wakae mezani na kama vipi mikabata haieleweki wapige lapa hii sio kwamba ni perishable ikifika jioni inaoza hivyo inabidi...
  14. Logikos

    Je , kuna nini nyuma ya kujirekodi na kuvuja kwa video za utupu?

    Tatizo ni wafukunyuzi sasa wewe kama haijaja kwenye inbox yako au kulazimishwa kuiangalia hao haujatoka kwenye taarifa ya habari kwenye luninga yako..., umekwenda kuifukunyua hio haina tofauti na kuchungulia watu dirishani wakiwa kwenye raha zao...
  15. Logikos

    Nchi zetu Afrika ikiwemo nchini yetu Tanzania inahitaji Benevolent Dictators

    Which to Happen ? The Benevolent Dictator au Automating Democracy ? Sababu katika ni Sheria na kama Sheria inaruhusu mtu mmoja kufanya lake atavyo hio bado ni Katiba na kama ni automating democracy issue ipo kwenye utendaji wa zile sheria na sio utunzi wa sheria...
Back
Top Bottom