au nasema uwongo ndugu zangu?
japo wenye akili timamu tunaona kama haliwezekani ila mtaji wa ccm miaka yote ni elimu duni ya wa tz ambayo inawafanya wawe wepesi kurubuniwa. kama kujaza wasanii ndo sababu pekee ya kwenda kuhudhuria mkutano basi kupata kiongozi anayejua kuigiza mbele za watu, ni...
pelekeni ushahidi takukuru, uchaguzi ulikua huru na wa haki, kama wamehongwa wajumbe na kutoa kura basi ni jambo binafsi la wajumbe sio la chama, ila kama wasimamia uchaguzi ndio wamepindua matokeo hapo kuna stahili malalamiko.
nyie mnaolalamiki rushwa mtueleze ni kwa namna gani rushwa imemnyima...
ngoma ni nying sana kali huu tuupokee kama mtazamo wako.... hata ranking yako sio sidhan kama mtiririko ndo huo...
kwangu mimi top 20 zisikosekane hizi
... agost 23 ya fid q
.... usiulize ya rado
.....mtazamo ya afande sele
.... cnn ya ngwair
......mfalme ya mwana fa
.....zali la mentali ya...
YESU NDIE NJIA, KWELI NA UZIMA,AAMINIYE ATAOKOLEWA ASIYEAMINI ATAHUKUMIWA.
issue sio dini issue ni kutambua uwepo wa Mungu na kumuishi, ukifa utakuwa judged kwa terms za Mungu mwenyewe especially matendo yako kwa Mungu na kwa wengine, ila mwsho wa siku neema ya Mungu ndo itaamua final...
mwamba alikua mbele ya muda, angepewa nafas ya kuishi mpaka leo basi kina de caprio wangekuja bongo na kiswahili wangeongea, mixer kuiona tz kwenye nomination za oscar awards huko, zile ambitions za kutaka zaid, kutoridhika na alipo na kutaka kufika duniani, ndo kulimtofautisha na wenzake...
in the last 10 yrs s2kyz, abba, na laizer wametengeneza midundo mikali, kama issue ni namba s2kyz amebahatika kufanya kaz na top artist so moja kwa moja ngoma lazma ziende ila kwenye mizan naona yupo big 3.
ila kuhusu GOAT s2kyz hagusi top 10.. ukizingatia kizaz kipya production sio ngumu kama...
mbona kama mzee mdee alikua anapiga hii pisi?
labda kwa sasa ameokoka na hvyo ana pingana na laana hz... ni kama zaman SAUL baada ya kukutana na Yesu akabadilishwa na kuwa MTUME PAUL, kisha yae aliyokua anayafanya akageuka na kuanza kupambana nayo na kumtetea kristo, nami naamini hata wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.