Mwaka 2020 baada ya kufika Arusha nikaona nimcheki jamaa yangu aliyekuwa na geto hayo maeneo ya daraja mbili kutokana bei kubwa ya lodge!
Jamaa baada ya kunipokea akatoka kidogo kwamba akauchukue vitu aje apike mara naona muda unaenda harudi nikampigia simu haipokelewi, ikanibidi niwe mpole...
Hapo kwenye rangi....
Rangi nzuri kwa mazingira yote ya vumbi na matope ni white na sliver!
Nyeupe ikichafuka haipotezi mg'ao ukitaka kuing'arisha ni rahisi kuliko rangi zingine pia!
Rangi nyeusi kwenye vumbi ni kisanga inachafuka haraka mno na kuing'arisha pia ni shida!
Hapa ndiyo Ngozi nyeupe walituweza!
Kwamba ukiitwa Mussa au Muhamad ndiyo mambo yako yatanyooka?!
Bora hata huyo babu yako aliweza kupata hata hao Ng'ombe 500 wewe baada ya kubadili jina sasa hivi una mali kiasi gani?!
Hakuna ujinga kama kuthamini majina ya Wazungu na Warabu!
Hivi mshana naye anafanya review za magari?!
Samatime yuko review zake ni za kibiashara zaidi zinalenga zaidi kuuza magari anayoagiza au kuuza aliyonayo
JITU LA MIRABA MINNE anayajua magari lakini huwa hafanyi review za magari
Dr mechanics anakupa mbivu na mbichi yaani anachimba kote upande...
Hii report yako haihusiani na reliability Usiwalishe matangopori watu!
HIyo ni report ya brand ambazo ziko nq reputation (Sifa/umaarufu) zaidi.
Consumer report hii hapa orodha yao ya brand ambazo ziko more reliable zaidi duniani...
Barabara ina mashimo na mbavu za mbwa mwanzo mwisho hakuna tajiri atapeleka gari luxury
Tatizo sio trafiki wala tatizo sio wenye magari tatizo ni barabara
Hiyo barabara ya kahama Geita ingekuwa na Lami gari za abiria zingekuwa za kutosha barabarani na hakuna mtu angesimama!
Geita...
Mzee hii nchi ukifikiri sana unaweza kuishia kuwa Gaidi ni vile tu hatukupewe roho za kiarabu na hakika hii nchi ingekuwa imeshakatika Vipande vipande!
Ukipita barabara ya Geita Kahama kama wewe ni mkazi wa ukanda huo na uwe unajua mapato yanayochangia kwenye serikali kuu lazima uumie roho...
Japo uzi una muda mrefu lakini hili ndiyo jawabu sahihi!.
Hii nchi kuna mikoa inanyonya rasilimali za maeneo mengine na kujisifu wana maendeleo huku mikoa inayotoa ikiwa kwenye hali mbaya
Mkoa wa Geita ukitoa hiyo highway ya Mwanza Bukoba hakuna barabara yoyote ya lami inayozidi 5km
Ukitaka...
Hivi tafsiri ya ushamba hasa ni nini boss?!
Yaani hata mtu kuacha kukuamini ni ushamba au unaimanisha kivingine?!
Online business kwa bongo bado sana ni bora tu uitwe mshamba kuliko kuibiwa kwa kumwanini mtazania
Online business tuwachie wazungu tu sisi ngozi nyeusi tuna laana sana
Kuna...
Kwamba miradi yote ya maji kwa ukanda wa ziwa iitwe Lowassa au unaimanisha mradi upi maana kuna miradi mingi inayotoa maji ziwa Victoria kwenda sehemu mbalimbali
Halafu mbona mtu akifa huwa mnataka apewe sifa nyingi sana!
Ndiyo kwamba ya Richmond na Escrow yameshasahaulika?!
Ama kweli hujafa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.