Recent content by Interlacustrine R

  1. Interlacustrine R

    Aziz Ki: Siondoki Yanga Mpaka Tubebe Ubingwa Wa Africa

    Mueleze jinsi 25/05/2024 Man Utd alikaza vizuri fainali ya FA tena kiubora hadi Man City kafa 2-1. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  2. Interlacustrine R

    Aziz Ki: Siondoki Yanga Mpaka Tubebe Ubingwa Wa Africa

    Mbona akina Mickson hawakufanywa hivi kabla ya kwenda Northern Africa, inamaana Wananchi wana ujasusi bora zaidi kuliko Makolokolo? Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  3. Interlacustrine R

    Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

    Nisamehe mimi nimekosa sana Bwabwaz Liandamizi [emoji2960] Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  4. Interlacustrine R

    Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

    Fedheha ya Me kutatuliwa rinda ni sawa na kuwa Ke mwenzio, ni heri achepuke ataweza kujitambua na kurudi kwenye mstari ila si kuvuliwa ukamanda "uanaume" NO. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  5. Interlacustrine R

    Hawa wanaJF wanachekesha sana kwenye post zao

    BICHWA KOMWE mtambo bab kubwa kwenye majibu yake anavyoshusha maneno dhidi ya wadau humu JF lazima ucheke hadi uzimie la sivyo uumwe tumbo kabisa [emoji119][emoji16]
  6. Interlacustrine R

    Simba ndio basi tena?

    Napinga vikali sana hii kauli, tuombe tu uzima nimekaa pale [emoji142][emoji23] Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  7. Interlacustrine R

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hamis77 atawalaani we Flano na AllyPipi, au hutaki wachaambuzi waseme Arse8 vile inavyo-press, drible, keep ball possession na strikers wao hatari Havertz & Jesus? Shauri zenu ohooo...[emoji1732][emoji4] Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  8. Interlacustrine R

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nimefurahi sana Kipara kufungwa na Mwacity wake maana walitudhulumu penati halali kabisa ya FA semi final iliyotokana na faulo ya Palmer. Mwacity City Fans Rudini kwenye timu zenu za awali Man Utd SC, Liverpool SC, Arsenal SC, na Chelsea SC...[emoji847] Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  9. Interlacustrine R

    Lijue shimo la mvuto(gravity hole) katikati ya bahari ya Hindi

    "Shimo la mvutano" ingependeza zaidi. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  10. Interlacustrine R

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nimefurahi sana Kipara kufungwa na Mwacity wake maana walitudhulumu penati halali kabisa ya FA semi final iliyotokana na faulo ya Pamer. Mwacity City Fans Rudini kwenye timu zenu za awali Man Utd SC, Liverpool SC, Arsenal SC, na Chelsea SC...[emoji847] Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  11. Interlacustrine R

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Nimefurahi sana Kipara kufungwa na Mwacity wake maana mlitudhulumu Chelsea SC penati halali kabisa ya FA semi final iliyotokana na faulo ya Pamer. FFP 115 Rudini kwenye timu zenu za awali "Man Utd SC, Liverpool SC, Arsenal SC na Chelsea SC" [emoji1787][emoji28] Ubinadamu ni kazi/The humanity...
  12. Interlacustrine R

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nimefurahi sana Kipara kufungwa na Mwacity wake maana walitudhulumu penati halali kabisa ya FA semi final iliyotokana na faulo ya Pamer. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  13. Interlacustrine R

    Pongezi kwenu Single Mothers

    Acha kutudhalilisha Ma-Drs, yani tukio moja ndilo linajumuisha Me sote wa mikoani? That's intuition and stereotyping judgement but not rational judgement, wake up Man. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  14. Interlacustrine R

    Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

    Mbona ni changamoto ndogo sana hiyo, je Ke angeshtukia Me wake ni Punga? Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  15. Interlacustrine R

    Biblia Mwanzo 4: Kwa nini Kaini baada ya kumuua Abel, aliogopa watu wengine watamuua, hao watu ni kina nani?

    Biblia haijaandika vitu vingi sana. YOHANA 21:25 Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Back
Top Bottom