Huwezi kunielewa kwasababu
Umejichagulia kukaa upande wakitolewa
Na badilika badilika kwani anaesababisha ni badilike
Si wewe au inajitoa ufahamu
Mimi nimekuja na hoja bunge limekosa heshima halina mvuto
Watu hawajui kama kuna vikao vya bunge vinaendelea
Wewe umeacha kujibu hoja
Umekuja na...
Khasara ni mtu ambaye uwezo wake
Wakufikiri mdogo na yule anaejitoa ufahamu makusudi
Anajua mambo hayapo sawa
Lakini yy anasema yapo sawa
Kwakuwa anachukua mshahara
Wa ukuu wa wilaya ana sahau kama kuna watu mlo mmoja kwa siku anaukosa
Ajira zote wanachukua kina mwegulu
January ridhiwani...
Kazi zote mmechukua nyinyi mnapeana kiukoo
Kama kuna kazi mtaani
Acha hio kazi yako udc na wewe
Uje ufanye kazi hata Makonda anajua
Kama mtaani kugumu
Wewe unasema fanya kazi yako kwa bidii umeiona hio kazi n
Ndio maana nakuambia acha kazi yako ya ukuu wa wilaya na wewe uje afanye kazi huku...
Tunajua kwa mujibu wa sheria
Mabunge yote duniani.kazi yake kuishauri serikali na kuisimamia
Yani kutunga sheria
Lakini kwa bunge hili la nzi wa kijani watupu halifanyi hivyo
Kazi yake kubwa kusifia kuimba mapambio na ndio maana tunasema halina mvuto
Mvuto tunao usemea sisi bunge limeacha...
Maslahi mapana ya nchi ni kuweka
Roboti bungeni
Kupiga sarakasi bungeni
Huko ndio kutetea maslahi ya nchi
Pale hakuna anaetetea maslahi ya nchi
Pale wanatetea matumbo yao
Na familia zao na ccm yao na serikali yao
Kwasababu hawapo pale kwa ajili ya wananchi
Na wewe hio hicho cheo ulichopewa...
Mambo ya chadema wapelekee
Wenyewe chadema sisi atu wajadili chadema kwani Chadem hawaongozi hii nchi
Chadema hawana t r a inayo wapachika kodi isio lipika kwa watanzania
Chadema hawana jeshi la polisi
Linalobambikia watu kesy
Chadema hawana waziri yoyote
Anaechukua mshahara kwa kodi
Za...
Ishu sio matusi wewe umeona nani
Anatukana
Kwahio kwa mtazamo wenu mtu akiongea tofauti na ccm basi anatukana
Hila akiongea inavyotaka ccm huyo mzalendo
Nani Kawa loga nyinyi
Kwahio tundu lissu kusema
Waliotaka kuniua wamekufa wao mimi nimebaki hayo matusi
Kwa akili zenu za moshi wa mwenge...
Unajua kuna watu wengine
Wanafikiri mpaka sasa bado wapo wajinga
Kumbe hizi ni zama zingine
Yeye anafikiri wote tumeasirika
Na moshi wa mwenge kama alivyo asirika yeye
Lazima upinge kwasababu wewe nimiongoni mwao .
Aliokuambia wale ni wananchi
Wananchi wanaolipa kodi wale hawalipi kodi na pale hawajawekwa
Na wananchi wamewekwa na mfumo mbovu wa uchaguzi
Wewe ndio unapotosha watu
Kwakuwa wa ambia wale wananchi wenzetu wale sio wananchi wenzetu
Na mule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.