Recent content by Frega Bao

  1. Frega Bao

    Unaweza kukunja nguo za ndani za mpenzi wako na kujionesha mtandaoni kama Harmonize alivyofanya?

    Huyu jamaa kwenye muziki wake huwa namuelewa sana ila linapokuja suala la mahusiano huwa nabaki namshangaa mno anakuwa mgeni kuliko kawaida
  2. Frega Bao

    Kwa hili jini ilikuwa halali Mayele akimbie nchi

    Hilo jini lako ile mechi waliyocheza Zambia na PD uliliona lilichokuwa linafanya?
  3. Frega Bao

    Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

    Nimepoteza muda bure kabisa kusoma huu uongo uliopitiliza eti "jamaa akaamua kujipiga risasi tano kichwani" hivi risasi tano mtu anajipigaje?
  4. Frega Bao

    Wakazi: Niliwahi kulala kwenye gari miezi miwili baada ya kufukuzwa home

    Nilitaka ku comment lakini wacha niache tu maana hamna namna
  5. Frega Bao

    Onana vs Skudu, ni mchezaji gani atakuwa wa kwanza kupewa mkono wa kwaheri katika timu yake?

    Skudu siku anatambulishwa alitoa shoo kali sana pale alicheza na mpira mpaka mashabiki wakapagawa. Kituko nikakiona kwenye utambulisho wa Simba yupo mchezaji alikuwa anahangaika kuutuliza mpira kichwani bila mafanikio ya Ngoswe muachie Ngoswe[emoji23]. Skudu kapeleka burudani Jangwani
  6. Frega Bao

    Diamond 'Uswahili', Alikiba 'Ushuani', Harmonize wapi?

    Kwa tafsiri rahisi Konde Gang is for EVERYBODY haijalishi unakula mjani au hauli, haijalishi uko ushuani au uswazi, uwe na wezere au pasi Jeshi hana makuu
  7. Frega Bao

    Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

    Ice cream-Noorah ft Suma lee prod Roy ndani ya G record
  8. Frega Bao

    Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

    Hawatuwezi-Nako 2 Nako ft Enika Temba ft Dully- Nampenda yeye Prof J ft Nature & Mkoloni- Zali la Mentali Ngwair ft Dark- She got a gwan Mandojo & Domo ft Nature - Niaje Ay ft Prezoo- Nipe nikupe
  9. Frega Bao

    Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

    Demu wangu-Ngwair & Mchizi Mox
  10. Frega Bao

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Verona kashaanza kutibua hali ya hewa
  11. Frega Bao

    Wananchi bado sana. Dk 82 mechi ni sare, simu zimepigwa nyingi sana kwa viongozi wa Dodoma Jiji

    Dawa inaingia na inafanya kazi vizuri poleni sana wagonjwa wote wa Yanga fever
  12. Frega Bao

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu habari za leo, mwenye code ya direct win mechi za leo betpawa ya uhakika angalau naomba atume humu nijaribu bahati
Back
Top Bottom