Ni dhahiri hujakomaa kisiasa, hii michango ni ushirikishwaji wa umma, ni kampeni kabambe kuliko hicho unachokitaka.
Kwa mfano mimi binafsi ninaweza kumnunulia Lissu gari jipya kabisa (ninao uwezo huo), lakini nimechanga mil 3 tu, hii ni kwasababu tunafanya makusudi kushirikisha umma
Tulionya Mapema sana kwamba Moto wa Chadema ukishawashwa hakuna wa kuuzima, na wala hatutakuwa na Mswalie Mtume, Elimu itatolewa, Makombora yatavurumishwa na Spana zotapigwa bila Huruma yoyote ile.
Hapa ni Kijiji cha Kiselya huko Iramba, nyumbani kwao kabisa Mwigulu, na Muda wa Mkutano Huu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.