Recent content by de Gunner

  1. de Gunner

    Hapa bado ndoa ipo au nimebakia na ndoano?

    You right bro, they like playing victim
  2. de Gunner

    Nani kapata mwenzi huku na wameoana?

    Asilimia kubwa yes wengi mashangazi.
  3. de Gunner

    Nani kapata mwenzi huku na wameoana?

    Facts, zinajiona balaa kumbe ovyo
  4. de Gunner

    Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

    Naweza kuwa sijapatia ila mwanamke mwenye tamaa kalaaniwa. Dini zote zinasema hivyo.
  5. de Gunner

    Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

    🤣🤣🤣 sijui ila kama sikosei maandiko ya dini yameidhinisha
  6. de Gunner

    Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

    Amelaaniwa mwanamke aangaliaye pesa na sio upendo🤣
  7. de Gunner

    Asilimia ya wanaume ambao hawajapata watoto

    Sasa kama ni kweli? Hiyo mimba na masingo maza wanajazwa mimba kwa uwezo wa holyspirit ama?
  8. de Gunner

    Diamond Platnumz amwambie Mwijaku too much is harmful

    Nyie mnahisi wanachukiana kumbe wanatafta trend na hela tu
  9. de Gunner

    Nilivyooa Kimasihara

    That's true love and connection sio mnakutana tu tayari. Chombo iliandaliwa kwa ajili yako na hongera kwa kishinda majaribu.
  10. de Gunner

    U-Marioo tabu tupu

    Ujinga huu yaani mwanamke aniendeshe kias hiko, labda nimerogwa
  11. de Gunner

    Manka mbaroni kwa kumchoma moto msaidizi wake wa ndani kwa mafuta

    Pesa imerudishwa na bado kachomwa moto, wanawake wa aina hii kukuuwa ni chap tu
  12. de Gunner

    Wanawake wa Dar es Salaam nani kawaloga?

    Ushamba huo
Back
Top Bottom