Recent content by Classics

  1. C

    Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

    1.fukuza mo dewji 2.fukuza mo dewji 3.fukuza mo dewji
  2. C

    Naunga mkono hoja Benchika hafai kufundisha Simba

    Anayetakiwa kuondoka ni kanjibai
  3. C

    Mo Dewj asema atazungumza na Wana Simba Instagram ili Wafanye usajili wa kishindo

    Tapeli mo dewji anatakiwa afukuzwe simba
  4. C

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Sasa mwamba na rangi yako hii kweli utongozwe na demu?
  5. C

    Kwanini wasichana wananionea aibu mimi?

    Bado hujarudi shule??
  6. C

    Putin ni mtu hatari wa kuongea saana ila USA analiogopa sana hili dude!

    Anhaaa shekhe wanasemaje huko msikitini
  7. C

    Sio kila uvimbe wa titi ni kansa

    Niko kwenye gari mda huu,natoka kumzika mama mmoja jirani,alikufa na kansa ya ziwa,ni huzuni kweli,hebu wanawake mfanye check up kwenye maziwa yenu kila baada a mwaka mmoja,na bila kusahau kichunguza saratani ya shingo ya kizazi kila baada ya miaka 3
  8. C

    Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

    Shida yako ni utoto na umeshindwa ku move on,ukiona hamuendani mwanamke achana nae mambo ya sms sijui ya mwisho inadhihirisha utoto wako,umetumia nguvu nyingi kwa sababu hukupendwa,Leo unajidai kumwacha wakati wewe ulishaachwa siku nyingi
  9. C

    Natafuta mume, nina miaka 24

    Umefunga pm bibie,njoo tuyajenge niko arusha
  10. C

    Huyu baunsa anajiamini nini kumpiga polisi?

    Nothing serious,acheni uchonganishi
  11. C

    ECOWAS yaanza kusogeza Majeshi yake mipakani mwa Niger

    Hahaha babu Hii taarifa umeitoa wapi,naona Kama umeharisha uharo huku
Back
Top Bottom