Jongoo bahari tu bei yake imesimama kuliko sato!
Wengi hawamli jongoo bahari lakini jiulize bei yake ni kubwa mno mno... katika soko la Dunia ndio balaa
Sato sijui anashindana bei
Hivi hizi dua na Ibada zinakaa mahala pake bila kukiri imani ya muhusika??
Kubatizwa? Kusilimishwa? Nk
Au ni kuhudhuria bila kupokea? Utaratibu wa katoliki ni huu tunao uona Au una jambo ?
Hizi taratibu huwa ni kwa wasio viongozi pekee? Au ni kama makanisa ya ufufuo na uzima, ngurumo ya upako...
Haya mambo ni makubwa kwa bwana Lucas Mwashambwa
Hii ni mifano michache kwa anachokisema ndugu kishimba
Hii ni Motto Cottage huko Monduli - Mto wa mbu, Arusha!
Hii ni shule ya Rhino Academy huko Arusha wilaya ya karatu!
HAya ndio mambo Lucas Mwashambwa unatakiwa kujibia serikali yako na chama chako kama unakubaliana nayo au kueleza mapungufu kama yapo!
Unatakiwa kuendana na
Ahadi za CCM: Binadamu wote ni sawa, Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko na Sitatoa wala kupokea rushwa johnthebaptist...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.