Recent content by anti-Glazer

  1. anti-Glazer

    Warangi mna fujo hapa mjini ila kwenu Kondoa kunatia aibu

    Warangi hata wanaume wanakipiga balaa
  2. anti-Glazer

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    https://www.jamiiforums.com/threads/chakuwahata-kwanini-hawapambani-kujikusanyia-wanagama-wengi.2145760/
  3. anti-Glazer

    Chakuwahata kwanini hawapambani kujikusanyia wanagama wengi.

    Kuna mvitano mkali kati ya Cwt na wanachama wake. Walimu asilimia mia hawakihitaji hiki chama. Ni kwa sabab ipi chaku hamuendelei kukusanya wanachama?? Maafisa utumishi pamoja na ded wanapambania serikali Ili ipate sehem ya kujipatia maokoto haramu ya pesa za walimu wetu
  4. anti-Glazer

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Rashfo hakuwepo. Ukumbuke hilo
  5. anti-Glazer

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa sisi analyst wa kimataifa. Man united bado Ina nafasi nzuri. Shida ni graizer wanatakiwa wakabidhi timu. Pili. Kocha amuondoe rashfor na martial. Tim itasimama. Take my word. No bora abaki Maguire
  6. anti-Glazer

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pamoja na ushindi. Rashfo is null to void
  7. anti-Glazer

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Combination Kwa ratio hii sio mbaya. Number don't lie
  8. anti-Glazer

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Angaia gape juu Hadi kwa kipa. Yaani ng'ombe mnene juu chini mwembamba
  9. anti-Glazer

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Guys tell me Hamas, is it a state or political party?? Wikipedia confused me. It says. Hamas is a Palestinian Sunni-Islamic fundamentalist, militant, and nationalist organization. it's not Palestine fighting Israel, but a group of individual. Make me understand
  10. anti-Glazer

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Hivi naweza kukopa baada ya kimaliza mkopo. Nahitaji kusoma tena
  11. anti-Glazer

    Serikali: Huu ndio ushauri wa mwisho kwa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Ushauri wangu. 1. Serekari iache kudokoa pesa za wagonjwa na psssf. 2. Nilimpoteza mamaangu. Inaniuma Sana. Bima ya afya iachwe isiguswe. Ummy mwaimu utachomea moto wewe
Back
Top Bottom