Tamaa ya uongozi na idadi kubwa ya ahadi zisizotekelezeka
Na Juma Kidogo
Ni siku na wakati mwingine tena tunakutana ndugu zangu wapendwa katika ulingo huu wa siasa ili kujadili mambo...
REDET, SYNOVATE na, wagombea wametugeuza watanzania ndondocha
Wagombea wote watakaoshindwa kutimiza ahadi zao washitakiwe kwa makosa ya utapeli na udanganyifu
Na Juma Kidogo...
MAHOJIANO YA DK SLAA NA COUNTYR FM(88.5)
Mwandishi wa Chanel ten Iringa Daud Mwangosi (kushoto) akimhoji mgombea urais wa Chadema Dk Slaa
Mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini...
Wana JF nimepita kwenye web link HII HAPA nikakuta document moja dated 26 Oct posted at 12:03pm
Inaonesha muandishi alikua ana hasira kali, its very interesting ila sijui kama ina ukweli...
Tayari Wagombea wote akiwepo JK wameshawasili.
Dr. Wibroad Slaa bado hajawasili:
==================
UPDATES:
MATOKEO YAANZA KUTANGAZWA KAMA IFUATAVYO:
WALIOJIANDIKISHA: 20,137,303
Waliopiga...
Japo nina ushahidi wa kutosha kuhusu kilichofanywa na majasusi hasa kwenye kura za urais lakini naomba nisizungumzie uchakachuaji kabla ya kuzungumzia udini.
Ni dhahiri wengi wamempigia kura Dr...
Haya wadau wa CCM ughaibuni na vijimatawi vyenu uchwara mko wapi? Mbona kimyaaaa?
Wananchi bongo wameshaanza kutia akili na kubadilika na ninyi mlio ughaibuni tulitegemea ndio mtakuwa wa kwanza...
Leo asubuhi nimecheck TBC1, kinana anasema 'kupanuka kwa demokrasia na kuongezeka kwa uelewa wa mambo ya siasa katika jamii' ni baadhi ya sababu ya ccm kupoteza viti vingi ukilinganishwa na mwaka...
katika jamii iliyo makini kuna sababu kwa Basil Mramba KUWAOMBA RADHI WATANZANI Kwa kauli yake ya kusema NDEGE ya raisi lazima Inunuliwe hata mkila NYASI Heri angesema tule majani maana hata...
Rejea umati wote uliokuwa unakulaki,wengine kukuita Mussa kuokoa wanaisrael,wengine mkombozi, eti leo unapata kura kidogo namna hii,
Sio kweli kabisa eti wajiandikishe watu laki moja halafu...
Mwenzenu napata taabu kidogo, sijui jinsi gani Mheshimiwa huyu ashawishiwe na kukubali ombi hili. Natamani sana John Pombe Magufuli awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama sio sasa kwa...
Nimeangalia live ya Kipindi cha Mchakato Majimboni kinarushwa live na TBC-1 na mpaka sasa kinaendelea, nimewasikiliza wagombea wote, kwa maoni yangu, ubunge wa Ubungo, njia ni safi na nyeupe kwa...
KATIBU mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Willbroad Slaa amesema anazo nyaraka maalumu za CCM zinazowaagiza wakuu wa wilaya kuwaita wafanyabiashara ili wakichangie chama hicho...
Watanzania wengi watakumbuka kwamba suala la madini kunufaisha umma wa watanzania limesimamiwa ipasavyo na Mhe. DR. Jakaya Mrisho Kikwete katika kusimamia na kutekeleza Ilani ya CCM kama...
Mabere Nyaucho Marando Through The Seasons:The Purpoted Senior Lawyer?
From a scratch.UDSM,law industry,business,to politics.Who is he and should we discuss this?His past,future,aspirations...
Wanabodi,
Tangu kuanza kwa kampeni, Ijumaa iliyopita, ni jana, leo na kesho, ndio nimepata nafasi kutulia nyumbani kufuatilia uchaguzi kwenye Electronic Media.
Jana nimeshuhudia TBC ikionyesha...
Sababu kwa nini nasema inaweza kutokea vurugu mwaka huu
vyombo vya Habari TBC1,ITV na Radio nyingine kupendelea upande mmoja
vyombo vyote vya usalama kupendelea upande wa CCM
TUME YA uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.