John Heche (Makamu Mwenyekiti Tanganyika wa CHADEMA) katika hotuba zake kwenye mikutano ya kampeni za NO REFORMS NO ELECTION 2025, mara kwa mara ametumia maneno haya, kwamba, dola la Tanzania kwa...
Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo...
Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa,isome kwa makini na ujitafari kwa kina na ujipe jibu mwenyewe je kati ya wewe unaamini ukristo na mimi ninayeamini katika MILA ZANGU ZA...
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa hivyo hii ina uhusiano gani na Ukristo barani Afrika? Wamishonari wa kwanza wa Kikristo barani Afrika walikuwa na silaha na vitu vitatu BUNDUKI yenye nguvu ya mabwana wa wakoloni ,muujiza wa...
Dereva Mtanzania aliyekuwa akiendesha lori, Juma Ally Maganga (45) ambaye alikuwa akishikiliwa na Mamlaka za kiusalama nchini Sudan Kusini kwa tuhuma za kugonga mtu na kusababisha kifo cha mtu...
Unaweza usiamini hili...lakini
Kunguru anapojisikia vibaya, hukaa karibu na kkichuguu cha siafu na hutandaza mbawa zake, hukaa tuli, na kuwaacha mchwa wamshambulie.
Wanafanya hivyo kwa sababu...
Ndoa ni ngumu wakuu!
Hebu fikiria uungane na mtu ukubwani halafu uanze kumletea sheria zako na azipokee tu kirahisi, sio kweli! ni lazima kuwepo na jambo la ziada kutoka kwako kabla ya sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.