Iko hivi
Kuna mdogo wa ex wangu kamaliza chuo mahali huu ni mwaka wa 3 au 4 kana sikosei.
Basi juzi kati hapo nikakutana na huyu ex wangu akaniambia kama ofisini kwetu au namjua mtu yeyote...
Miaka yote tumwona na kusikia CHADEMA ikipiga kelele dhidi ya serikali kutumia polisi kwenye chaguzi mbalimbali za Taifa letu.
Fafanuzi mbalimbali kutoka kwa viongozi waandamizi wa CHADEMA namna...
Baada ya hili sakata la TikTok nimekutana na wadau majukwaani wakidai China ndio wa kwanza kufungia mitandao ya kijamii ya Marekani. Kwa hiyo ni kama Marekani nao wameijibu China.
Wengi hawajui...
Kusaidiana Kwa binadamu ni desturi nzuri
Kumsaidia mpenzi wako katika changamoto mbalimbali za kiuchumi ni jambo la kawaida na muhimu kwenye mahusiano.
Yaani unamsaidia mpenzi wako kwasababu...
Hawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
Wanajukwaa!
Leo Lissu amefunguka mengi sana moja wapo ni hili
Tundu Lissu amesema atamlindia heshima yake Freemana Mbowe na atakuwa miongoni mwa wazee wa chama watakaokuwa wanasimamia uchaguzi...
Naam Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mtumzi Wetu EDGAR MBOGO ametuandalia Kigongo Kingine Hichi Sio Cha Kukikosa Kitakujia Hapa Hapa Jamii Forums,
Kwa Wale Ambao Wamesoma Simulizi Ya (Asali...
Wakuu!
Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.
Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.